Tuesday 27 March 2012

BREAKING NEWS!! POST ZA KIDATO CHA TANO HIZI HAPA

Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji kwa mwaka 2012 yametangazwa na Kamishna wa Elimu ya Sekondari. Pamoja na majina hayo, ripoti pamoja na uchambuzi wa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne kwa mwaka 2011 imetolewa.

icon Wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012- Wavulana
icon Wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012- Wasichana
icon CSEE 2011 - Report and Analysis of the Results 

No comments:

Post a Comment